Wanaume mtaacha kuniangusha!
Demu akikam kwako achana na hii ujinga...1.Unakimbiakimbia na machupa ya soda-Nani alikuambia alikuja kwako kunywa soda gunia hii?
2.Demu amekuja kwako na unangangana kuweka movies - kwani kwako imekuasinema?...peana haki ya wenyewe arudi kwao haraka
3.Badala ya kutimiza haki unaanza kuita marafiki wa plot wakuje wamsalimie - Kwani unafikiri
amekuja show ground.
4.Umetoa album na kuonyesha Demu - Nani alikuambia anakam museum.Achanana hii ujinga na ujue lengo lake la kuja kwako.
5.Dem amekuja wako unamchapia tustori - So wewe umekua babu wacha upuzi,demu mpe
haki na kaa ni story wachia storybook pliz.
6.Sasa unaanza jump maadvice na words of love.Wacha hii story zijebaadaye.Tenda wema kwanza
Dem aende.
7.Umeanza kuangalia Phona yake Mameso na kuulzaHii miss call ni ya nani?Nyani nyeusi wewe.Demu si mgonjwa ndo uanze maswali za clinic .ama za FBI....amekuja apewe haki
yake..,pliiz wacha umang'aa.
8.Umeanza kumshika shika....wee hapo kwako sio massage parlour......tenda haki
haraka kaishie!
9.Unapropose ati mupige maroundi kiasi alafu murudi baadaye...surely!!!...did she come for that? Kondoo ww!
10.Unaanza kuunda food - Sasa food ni ya food iko kwao,pea yeye kitu yenye hapati...farasibila mkia wewe!
11.Sasa unauliza story za mvua - Kwani wee ni rainmaker???